Michezo yoteGotham imegeuzwa kuwa gereza kubwa lililojaa wahalifu. Batman anatumia akili na mapambano kuchunguza mpango hatari wa Hugo Strange na kumkabili Joker.
- inacheza pc zote Intergrated na dedicated
- so kama una Pc ina atleast 4 ram gb unaweza jaribu ila kwanzia 6 ndo bora zaidi
Game metadata, screenshots and video from RAWG.io · rawg.io