Inapakia michezo ya PC…



Mobile game · GB 36
Baada ya kusalitiwa na Zeus, Kratos anarudi kulipiza kisasi kwa miungu ya Olympus. Akiwa na hasira kali na kiu ya revenge, anapanda Mlima Olympus akiwa na Titans ili kuwaangamiza miungu yote, akiwemo Poseidon, Hades na hatimaye Zeus mwenyewe. Safari yake inageuka kuwa vita kubwa inayoweza kuangamiza dunia nzima. God of War III ni story ya kisasi, hasira na vita kati ya Kratos na miungu ya Olympus