Inapakia games za PC…



kabla ujalipia jua kabisa hii ni cloud game ambayo ina cheza GTA VI sema unasubiri mda mrefu sana sio yangu ila nimewawekea ili muweze ku enjoy japo kwa experience za games nzuri za offline nawashauli kulipia subscriptions ili ku download games ucheze offline