


750,000 TSH
Processor Qualcomm Snapdragon 8+ Gen 1 (4nm) GPU Adreno 730 Display 8.8-inch IPS LCD Resolution 2560 × 1600 (2.5K) Refresh Rate 144Hz RAM 12GB / 16GB LPDDR5X Storage 256GB / UFS 3.1 Battery 6,550mAh Charging 45W fast charging Gaming Features 144Hz Display: Smooth gaming experience. Bypass Charging: Unaweza kucheza ukiwa umechomeka charger huku ukipunguza kuchaji betri moja kwa moja. Dual USB-C: Kuchaji na kuunganisha accessories. MicroSD: Kuongeza storage hadi 1TB. Wi-Fi Only: Haina SIM card wala mobile data. Gaming verdict: Hadi sasa Y700 Gen 2 bado ni tablet nzuri kwa gaming, hasa kwa mtu anayetaka screen ndogo yenye performance kubwa. Ila 144Hz haimaanishi kila game itacheza 144 FPS; inategemea game na settings zake. itacheza games zote kwa fps 120 hivyo nitaku shauli chukua kama unacheza pub g codm na free fire na una budget ndogo
Idadi
Ipo stoo
Tunasafirisha Tanzania nzima · usafiri unalipwa mzigo ukifika
Namba za Tanzania tu. 0712… au 255712… zote zinafanya kazi.
Thibitisha kiasi cha mwisho kwenye skrini ya malipo kabla ya kuidhinisha. Uthibitisho unakuja moja kwa moja kutoka kwa mtoa huduma.