


956,000 TSH
HII NITAKWAMBIA CHUKUA BILA HATA KUULIZA MARA 2 KWA NINI ?? Processor Snapdragon 8 Gen 3 (4nm) GPU Adreno 750 Display 8.8-inch IPS LCD Resolution 2560 × 1600 (2.5K) Refresh Rate 165Hz RAM 12GB / 16GB LPDDR5X Storage 256GB / 512GB UFS 4.0 Battery 6,550mAh Charging Up to 68W Processor yake ni kubwa sana narudia tena gen 3 ni moja kati ya processor inayo favour na kubeba games nyingi sana mpaka 144 fps especially kwenye pub g,call of duty and other heavy games Gaming Performance Gen 3 ni nzuri zaidi kwa PUBG Mobile, COD Mobile, Genshin Impact, Wuthering Waves na emulation. Ina GPU yenye nguvu zaidi na cooling iliyoboreshwa. Pia ina bypass charging, ambayo ni muhimu kwa gaming sessions ndefu. na ina gaming features kibao
Idadi
Ipo stoo
Tunasafirisha Tanzania nzima · usafiri unalipwa mzigo ukifika
Namba za Tanzania tu. 0712… au 255712… zote zinafanya kazi.
Thibitisha kiasi cha mwisho kwenye skrini ya malipo kabla ya kuidhinisha. Uthibitisho unakuja moja kwa moja kutoka kwa mtoa huduma.