Inapakia duka…



150,000 TSH260,000 TSH
Hii ni moja kati ya best webcam ambayo nitakushauli uchukue kama unataka kuanza streaming kwa upande wangu ndo webcam ambayo mpaka leo ninaitumia sababu zifuatazo ina auto focus nzuri sana ina quality nzuri sana especially unapo kuwa live ni 4k 30fps kwa 1080 60fps 1080 yake ni kali sana hata hutokuwa na matumizi ya kuhutaji 4k inshort naipa 9/10 buy it hutojutia, maelezo mengi ya webcam yapo kwenye picha apo
Idadi
Ipo stoo
Tunasafirisha Tanzania nzima · usafiri unalipwa mzigo ukifika
Namba za Tanzania tu. 0712… au 255712… zote zinafanya kazi.
Thibitisha kiasi cha mwisho kwenye skrini ya malipo kabla ya kuidhinisha. Uthibitisho unakuja moja kwa moja kutoka kwa mtoa huduma.