Inapakia duka…



25,000 TSH35,000 TSH
hii ni pack special kwa wale watu wanaocheza game za efootball,pubg,codm utapata sleeves, joystick na powder (kazi ya powder ni kutopata joto, sleeves ni ku support usipate joto pia , na joy stick ni ku support movement kwenye game
Idadi
Ipo stoo
Tunasafirisha Tanzania nzima · usafiri unalipwa mzigo ukifika
Namba za Tanzania tu. 0712… au 255712… zote zinafanya kazi.
Thibitisha kiasi cha mwisho kwenye skrini ya malipo kabla ya kuidhinisha. Uthibitisho unakuja moja kwa moja kutoka kwa mtoa huduma.