


1,440,000 TSH
KABLA YA SPECS HII NDO SIMU NAJUTIA KUIUZA WHY ? SOMA AFTER SPECS Processor Snapdragon 8 Elite (3nm) GPU Adreno 830 Display 13-inch IPS LCD Resolution 3840 × 2560 Refresh Rate 144Hz RAM 8GB / 12GB / 16GB Storage 256GB / 512GB UFS 4.1 Battery 12,700mAh Charging 68W Operating System Android 16 Rear Cameras 13MP + 2MP Front Cameras 8MP + 3MP Speakers 6 speakers, Dolby Atmos imagine simu inatumia speaker ya dolby atoms ambayo hata adui atembee vipi unamsikia simu ina the latest processor ya sd gen 8 elite kama redmagic 11 na stra 2 simu ina support 144 fps bila kushuka kwenye game hata kama ucheze kwa mda gani NIAMINI MIMI NUNUA UTOJUTIA INA SCREEN KUBWA KWA WAPENDA SCREEN KUBWA 13 INCHES CONDITION ZOTE NI SECOND HAND IN CLEAN CONDITION AS NEW
Idadi
Ipo stoo
Tunasafirisha Tanzania nzima · usafiri unalipwa mzigo ukifika
Namba za Tanzania tu. 0712… au 255712… zote zinafanya kazi.
Thibitisha kiasi cha mwisho kwenye skrini ya malipo kabla ya kuidhinisha. Uthibitisho unakuja moja kwa moja kutoka kwa mtoa huduma.